• HABARI MPYA

    Friday, November 20, 2015

    DIRISHA DOGO KUFUNGWA DESEMBA 15, NANI ATAKWENDA WAPI?

    DIRISHA la usajili kwa vilabu vya Ligi Kuu (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) lilofunguliwa Novemba 15, litafungwa Disemba 15 mwaka huu.
    Vilabu vinavyoshiriki ligi hizo zilizopo chini ya Shirikisho Mpira wa Miguu (TFF) vinaombwa kufanya usajili katika muda uliopangwa ili kuepukana na kuchelewa, na kufungwa kwa dirisha hilo.
    Viungo Said Ndemla (kulia) wa Simba SC na Himid Mao (kushoto) wa Azam FC

    Usajili wa dirisha dogo ni kwa vilabu ambavyo havijajaza idadi ya wachezaji 30 katika usajili uliofanyika wakati wa dirisha kubwa la usajili (Juni – Agosti 2015), usajili huo wa wachezaji unafanyika katika tovuti ya TFF, www.tff.or.tz kisha kwenye link ya Club Registration.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIRISHA DOGO KUFUNGWA DESEMBA 15, NANI ATAKWENDA WAPI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top