• HABARI MPYA

    Monday, November 16, 2015

    MATUMLA ALIPOWEKA REKODI YA MTANZANIA WA KWANZA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA

    Bondia Rashid Matumla akiinua mkono kufurahia taji la ubingwa wa dunia wa WBU, baada ya kumshinda Paolo Pizzamiglio Juni 6, mwaka 1999 nchini Italia katika pambano la uzito wa Welter. Wakati huo, Matumla alikuwa chini ya kampuni ya DJB Promotions, iliyokuwa inamilikiwa na ndugu,  Dioniz na Jamal Malinzi. Jamal sasa ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Dioniz Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT)



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATUMLA ALIPOWEKA REKODI YA MTANZANIA WA KWANZA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top