• HABARI MPYA

    Saturday, September 05, 2015

    UFARANSA YAWACHAPA 1-0 URENO NA RONALDO WAO TENA LISBON

    Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo katika mchezo wa kirafiki usiku huu mjini Lisbon. Ufaransa imeshinda 1-0 bao pekee la Mathieu Valbuena PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UFARANSA YAWACHAPA 1-0 URENO NA RONALDO WAO TENA LISBON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top