![]() |
| Kiungo chipukizi wa Azam FC, Farid Mussa akimlamba chenga beki wa Prisons jana Chamazi |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Hassan Kessy kulia akimtoka beki wa African Sports katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana. Simba SC ilishinda 1-0 |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akiwatoka wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akimtoka beki wa Sports |
![]() |
| Nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi akimtoka beki wa Sports |








.png)
0 comments:
Post a Comment