• HABARI MPYA

    Monday, June 02, 2014

    MAMBO YA MOURAD HARARE SI YA KUSIMULIWA, JIONEE MWENYEWE

    Beki wa Tanzania, Said Mourad 'Mweda' akifurahia baada ya Taifa Stars jana kuitoa Zimbabwe mjini Harare katika mechi ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika. Stars ilitoa sare ya 2-2 na kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinda 1-0 Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMBO YA MOURAD HARARE SI YA KUSIMULIWA, JIONEE MWENYEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top