• HABARI MPYA

    Monday, June 02, 2014

    SAMATTA ALIVYOIBUKA JANA HARARE...MENO 32 YOTE NJE

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa amemkumbatia mfungaji wa bao la pili la Taifa Stars katika sare ya 2-2 na wenyeji, Zimbabwe, Thomas Uimwengu anayecheza naye TP Mazembe ya DRC baada ya mchezo wa marudiano kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika jana mjini Harare. Stars imesonga mbele kwa ushindi wa jumla 3-2 baada ya awali kushinda 1-0 nyumbani, Dar es Salaam na Samatta hakucheza jana kwa sababu ni majeruhi.
    Samatta akizungumza na mfungaji wa bao la kwanza la Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro', huku Uklimwengu akiondoka zake
    Tanzania Oyee; Mbwana Samatta akifuaria

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOIBUKA JANA HARARE...MENO 32 YOTE NJE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top