• HABARI MPYA

  Friday, June 27, 2014

  ALGERIA YAFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA

  Wachezaji wa Algeria wakishangilia baada ya sare ya 1-1 na Urusi iliyowawezesha kutinga hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia nchini Brazil kutoka Kundi H. Algeria imeungana na Ubelgiji kufuzu kutoka kundi hilo na sasa itamenyana na Ujerumani. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALGERIA YAFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top