• HABARI MPYA

  Friday, March 20, 2020

  KIGOGO YANGA SC AKIWA KWENYE KIKAO CHA MAJADILIANO YA MKATABA MPYA NA NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI "MUTU YA KONGO"

  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (kushoto) akiwa kwenye kikao Nahodha wa klabu hiyo, Papy Kabamba Tshishimbi, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuzungumzia mkataba mpya akiwa amebakza miezi minne kumaliza mkataba wake wa sasa Agost mwaka huu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIGOGO YANGA SC AKIWA KWENYE KIKAO CHA MAJADILIANO YA MKATABA MPYA NA NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI "MUTU YA KONGO" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top