Mshambuliaji Mnigeria, Odion Ighalo akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 28 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, LASK kwenye mchezo wa kwanza wa Hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Linzer Jijini Linz. Mabao mengine ya Manchester United yamefungwa na Dan James dakika ya 58, Juan Mata dakika ya 82, Mason Greenwood dakika ya 90 na Andreas Pereira dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment