• HABARI MPYA

  Saturday, March 14, 2020

  TANZANIA YAPIGWA 5-0 NA UGANDA NA KUTUPWA NJE MBIO ZA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17

  TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 jioni ya leo imefungwa mabao 5-0 na wenyeji, Uganda kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Fainali za Kombe la Dunia Uwanja wa Lugogo Jijini Kampala hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 6-2 kufuatia kushinda 2-1 kwenye mechi ya kwanza Machi 1 nyumbani, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAPIGWA 5-0 NA UGANDA NA KUTUPWA NJE MBIO ZA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top