• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2020

  NYOTA WA KLABU YA AZAM FC NA TAiFA STARS SHAABAN IDDI CHILUNDA AUAGA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA DAR

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda (kushoto) akimvisha pete mkewe baada ya kufunga ndoa jana Jijini Dar es Salaam
  Mshambuliaji wa klabu ya Azam FC na timu ya taifa, Taifa Stars, Shaaban Iddi Chilunda (kushoto) akivishwa pete na mkewe baada ya wawili hao kufunga ndoa jana Jijini Dar es Salaam 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA KLABU YA AZAM FC NA TAiFA STARS SHAABAN IDDI CHILUNDA AUAGA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top