NEYMAR AFUNGA PSG YAICHAPA DORTMUND 2-0 NA KUTNGA ROBO FAINALI
Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza PSG dakika ya 28, kabla ya Juan Bernat kufunga la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris kwenye mchezo wa marudano wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. PSG inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Ujerumani na inakwenda Robo Fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2016PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment