Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akiwa ameshika tuzo ya Ballon d'Or 2019 baada ya kukabidhiwa jana Jijini Paris, Ufaransa kufuatia kushinda kwa mara ya sita ambayo inakuwa rekodi. Messi amewashinda beki Mholanzi, Virgil van Dijk aliyemaliza wa pili na mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo aliyeshika nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen beats Norris and Piastri to pole in season finale
-
Red Bull's Max Verstappen beats his McLaren title rivals Lando Norris and
Oscar Piastri to pole position for the Abu Dhabi Grand Prix.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment