Tyrone Mings akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Aston Villa bao la kusawazisha dakika ya 66 ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la Aston Villa limefungwa na Jack Grealish dakika ya 11, wakati mabao ya Man United yamefungwa na Tom Heaton aliyejifunga dakika ya 42 na Victor Lindelof dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Clippers' Paul George: 'People Saw Weakness in Me' in Playoffs, 'That Fueled Me'
-
Los Angeles Clippers star Paul George said his struggles during the 2020
NBA playoffs provided intense motivation as he prepared for the 2020-21
season. "I...
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment