• HABARI MPYA

  Tuesday, November 13, 2018

  ROONEY MAZOEZINI ENGLAND IKIJIANDAA KUIVAA MAREKANI

  Mshambuliaji wa DC United ya Marekani, Wayne Rooney akifurahi na mchezaji mwenzake wa zamani wa Everton, Ross Barkley katika mazoezi ya timu ya taifa ya England jana Uwanja wa St George's Park kujiandaa na mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya Marekani Alhamisi Uwanja wa Wembley. Rooney amekwishastaafu soka ya kimataifa, lakini ameitwa maalum tu kwa ajili ya mchezo huo, ambao utakuwa wa 120 kwake kuichezea Three Lions 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY MAZOEZINI ENGLAND IKIJIANDAA KUIVAA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top