• HABARI MPYA

  Wednesday, October 17, 2018

  RAHA ZA USHINDI WA JANA TAIFA STARS ZILIWAHUSU WAZALENDO TU

  Mashabiki wa Tanzania wakifurahia jana wakati wa mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 nchini Cameroon dhidi ya Cape Verde jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Tanzania ilishinda 2-0. 
  Mashabiki wa Taifa Stars walikuwa wenye furaha kubwa jana Uwanja wa Taifa 
  Binti huyu akionyesha uzalendo wake jukwaani jana  
  Mashabiki wakifuatili mchezo kati ya Taifa Stars na Papa wa Bluu kwa hisia tofauti
  Mashabiki wakifuatili mchezo kati ya Taifa Stars na Papa wa Bluu kwa hisia tofauti 
  Mashabiki hawa wa kigeni wakifuatilia mchezo huo jana 
  Mashabiki wengine wakiwa katika mavazi ya kizalendo 
  Hapa ni shangwe baada ya filimbi ya mwisho
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAHA ZA USHINDI WA JANA TAIFA STARS ZILIWAHUSU WAZALENDO TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top