• HABARI MPYA

    Sunday, January 01, 2017

    WAZIRI MWIGULU NA MAMA YAKE 'TEJA' CHIDDY BENZ

    Mama wa msanii wa Bongo Fleva, Chiddy Benz (kushoto) akimuonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba tuzo ambazo msanii huyo alitwaa kabla ya kuathirika na dawa za kulevya. Waziri Mwigulu alimtembelea mama yake Chiddy Benz jana kwa lengo la kumtaka kumsaidia kijana huyo arejee kwenye hali yake ya kawaida  
    Hii ndiyo hali ya Chiddy Benz kwa sasa
    Chiddy Benz ameathirika na dawa za kulevya 'vibaya mno'
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI MWIGULU NA MAMA YAKE 'TEJA' CHIDDY BENZ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top