• HABARI MPYA

  Saturday, January 28, 2017

  'KAPTENI' MKUDE ALIVYOUMIZWA NA KIPIGO CHA LEO

  Nahodha wa Simba, Jonas Mkude (kushoto) akiwa amejiinamia baada ya kufungwa 1-0 na Azam jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni beki Mzimbabwe Method Mwanjali
  Kutoka kulia ni Mwanjali, kipa Daniel Agyei na Mkude
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'KAPTENI' MKUDE ALIVYOUMIZWA NA KIPIGO CHA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top