Bastian Schweinsteiger (kulia) akishangilia na wenzake akiwemo Nahodha, Wayne Rooney (kushoto) baada ya kuifungia Manchester United bao la nne dakika ya 81 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Wigan kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 44, Chris Smalling dakika ya 57 na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment