• HABARI MPYA

  Monday, January 30, 2017

  REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA

  Cristiano Ronaldo akishangiliaa baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Sociedad jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa Mateo Kovacic dakika ya 38 na Alvaro Morata dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top