• HABARI MPYA

  Monday, January 23, 2017

  MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA

  Lionel Messi akimchambua kipa wa Eibar kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 50 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Ipura. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Denis Suarez dakika ya 31, Luis Suarez dakika ya 68 na Neymar Junior dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top