• HABARI MPYA

  Monday, January 23, 2017

  COSTA AREJEA NA BAO CHELSEA IKIIFUMUA 2-0 HULL CITY

  Diego Costa akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hull City usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Gary Cahill dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COSTA AREJEA NA BAO CHELSEA IKIIFUMUA 2-0 HULL CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top