• HABARI MPYA

    Saturday, November 12, 2016

    POGBA, PAYET WAFUNGA UFARANSA IKIICHINJA 2-1 SWEDEN

    Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akinyoosha kidole juu kushangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao lingine la Ufaransa lilifungwa na Dimitri Payet, wakati la Sweden lilifungwa na Emil Forsberg PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POGBA, PAYET WAFUNGA UFARANSA IKIICHINJA 2-1 SWEDEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top