• HABARI MPYA

  Saturday, November 12, 2016

  MCHEZAJI WA ARSENAL APIGA HAT TRICK UJERUMANI YAUA 8-0 KOMBE LA DUNIA

  Jana ulikuwa ni usiku wa kukumbukwa kwa mchezaji wa zamani wa Arsenal, Serge Gnabry baada ya kufunga hat-trick katika ushindi wa 8-0 ugenini wa Ujerumani dhidi ya San Marino Uwanja wa Olimpico di Serravalle mjini Serravalle. Mabao mengine ya Ujerumani kwenye mchezo huo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia yalifungwa na Khedira, Hector mawili, Stefanelli na Volland PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA ARSENAL APIGA HAT TRICK UJERUMANI YAUA 8-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top