Andrea Belotti (katikati) akimpiga tobo kipa wa Liechtenstein kuifungia Italia katika ushindi wa 4-0 usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi. Belloti aalifunga mabao mawili, huku mengine yakifungwa na Antonio Candreva naa Circo Immobile PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jimmy Kimmel Nails Trump With Damning Damage-Control Supercut Video
-
The late-night host said the president has had to do "a lot of tap-dancing"
after his comments about the pope.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment