• HABARI MPYA

  Sunday, November 13, 2016

  HISPANIA YAIFUMUA MACEDONIA 4-0 GRANADA

  Nacho Monreal (katikati) akishangilia baada ya kufunga bao lake la kwanza Hispania dakika ya 84 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Macedonia usiku wa jana katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Nuevo Los Carmenes mjini Granada. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Darko Velskoski aliyejiunga dakika ya 34, Vitolo dakika ya 63 na Aritz Aduriz dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HISPANIA YAIFUMUA MACEDONIA 4-0 GRANADA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top