• HABARI MPYA

    Thursday, February 04, 2016

    SIMBA SC 'ILIVYOJIFAIDIA' KWA MGAMBO JKT JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza (kulia) akifumua shuti pembeni ya mabeki wa Mgambo JKT jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kushoto) akimtoka beki wa Mgambo
    Hamisi Kiiza (kushoto) akipambana na beki wa Mgambo kulia
    Beki wa Simba SC, Hassan Kessy (kushoto) akiwania mpitra wa juu dhidi ya mchezaji wa Mgambo

    Mshambuliaji kinda wa Simba SC, Hajji Ugando (kulia) akiwa mawindoni kwenye lango la Mgambo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC 'ILIVYOJIFAIDIA' KWA MGAMBO JKT JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top