• HABARI MPYA

    Thursday, February 04, 2016

    WATFORD 'YAIDINDIA' CHELSEA, SARE 0-0 VICARAGE ROAD

    Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akimsukuma beki wa Watford, Sebastian Prodl wakati wa kugombea mpira kwenye boksi usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Timu hizo zilitoka 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATFORD 'YAIDINDIA' CHELSEA, SARE 0-0 VICARAGE ROAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top