• HABARI MPYA

  Wednesday, February 10, 2016

  HAJATOKEA KIPA MWINGINE KAMA ATHUMANI MAMBOSASA

  Kipa wa Simba SC, Athumani Mambosasa (marehemu) akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Kitwana Manara katika fainali ya Klabu Bingwa ya Taifa Agosti 10 mwaka 1974 Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza. Yanga SC ilishinda 2-1, mabao ya Gibson Sembuli (marehemu) na Sunday Manara, huku bao pekee la Simba SC likifungwa na Adam Sabu (marehemu). Inaaminika Mambosasa ndiye kipa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania hadi sasa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAJATOKEA KIPA MWINGINE KAMA ATHUMANI MAMBOSASA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top