• HABARI MPYA

  Thursday, February 11, 2016

  AGGREY MORRIS ANAVYOPAMBANA KUREJEA UWANJANI AZAM FC

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akifanya mazoezi ya gym jana makao makuu ya klabu, viwanja vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Morris amekuwa nje tangu Novemba mwaka jana kutokana na maumivu ya goti kabla ya kwenda kufanyiwa upasuaji nchini Afrika Kusini mwezi uliopita na sasa yuko fiti, ameanza mazoezi mepesi, huku akiendelea kuimarika taratibu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGGREY MORRIS ANAVYOPAMBANA KUREJEA UWANJANI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top