Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, February 17, 2016

  AGGREY MORRIS ALIVYOANZA KUPASHA AZAM FC KABLA YA MECHI NA MBEYA CITY

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris (kulia) aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu akifanya mazoezi na wenzake jana viwanja vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
  Kushoto Aggrey Morris na kulia kiungo Mudathir Yahya mazoezini Azam Complex jana

  Aggrey Morris nyuma kabisa akikimbia na wenzake mazoezini

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: AGGREY MORRIS ALIVYOANZA KUPASHA AZAM FC KABLA YA MECHI NA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top