Furaha: Kiungo wa Ujerumani, Sami Khedira akipigana mabusu ya mate kwa mate na mpenzi wake, Lena Gercke baada ya kukabidhiwa Medali ya ushindi wa Kombe la Dunia jana, kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Argentina jana. Khedira hakucheza kwa sababu alikuwa majeruhi, lakini mwenye furaha sana baada ya mechi
Joto la mpenzi: Sami Khedira akipongezwa na mpenzi wake, Lena Gercke
Cheki toto hilo: Mpenzi wa Khedira, Lena Gercke akipiga ulabu



.png)
0 comments:
Post a Comment