BEKI Rio Ferdinand amekamilisha vipimo vya afya jana usiku Loftus Road kwa na kujiunga na Queens Park Rangers.
Staa huyo wa zamani wa Manchester United aliwasili London Magharibi Alhamisi usiku wa jana kwa ajili ya kuhamia kwenye timu hiyo iliyopanda daraja msimu huu.
Ferdinand amesaini mkataba wa miezi 12 ambao utakuwa ukimuingizia mshahara wa pauni 70,000 kwa wiki.

Nyumbani na ugenini: Rio Ferdinand akiwa na jezi ya nyumbani na ugenini za klabu yake mpya Loftus Road

Nahodha huyo wa zamani wa England akisaini mkataba kama mchezaji huru baada ya kuondoka Manchester United
Ferdinand alikuwa hana timu kutokana na kutemwa na Manchester United mwezi uliopita.
BIN ZUBEIRY iliandika Juni mwaka huu jinsi ambavyo Rangers walikuwa wamefikia makubaliano na Ferdinand ajiunge nao kwa ajili ya msimu ujao.
Lakini, usajili huo umekuwa ukikwamishwa na sakata ma mshahara baada ya QPR dakika za mwisho kufikiria upya makubaliano binafsi na Ferdinand. Hata hivyo baada ya utata wa hapa na pale sasa Redknapp anafurahia kumnasa Ferdinand.

.png)
0 comments:
Post a Comment