• HABARI MPYA

    Thursday, July 17, 2014

    FUTARI YA TFF UWANJA WA KARUME LEO, ILIKUWA SWAFI MASHAALLAH

    Imamu akiongoza ibada ya sala la Magharibi kabla ya futari maalum iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jioni ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. 
    Rais wa TFF, Jamal Malinzi kushoto akipata futari na waalikwa
    Malinzi akijiandaa kuchukua futari
    Gwiji wa Simba SC, Hamisi Kilomoni akijipakulia futari
    Wahariri wa kike wa magazeti mbalimbali wakipata futari 
    Rais wa zamani wa TFF, Said El Maamry akipata futari
    Mdau akipata futari
    Wadau wakijipakulia futari
    Wadau wakijipatia futari
    Mwenyekiti wa Chama Soka Temeke (TEFA), Peter Mhinzi kulia akitaniana na beki wa zamani wa Yanga, Suleiman Mkati baada ya futari
    Kulia Rais wa zamani wa Yanga SC, Abbas Tarimba akiwa na Rais wa zamani wa TFF, Leodegar Tenga
    Meya wa Dar es Salaam, Jery Slaa akihutubia baada ya futari 
    Sheikh akihutubia baada ya futari

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FUTARI YA TFF UWANJA WA KARUME LEO, ILIKUWA SWAFI MASHAALLAH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top