• HABARI MPYA

    Friday, July 11, 2014

    POGBA ATUA LONDON, CHELSEA WAHAHA KUIPATA SAINI YAKE

    MCHEZAJI anayetakiwa na Chelsea, Paul Pogba ameonekana Magharibi mwa London jana, na kusimama kupiga picha na shabiki mjini Knightsbridge.
    Kiungo huyo wa Ufaransa alikuwa mmoja wa nyota waliong'ara katika Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014 huku akihusishwa na uhamisho wa Pauni Milioni 60 kutoka kwa mabingwa wa Serie A, Juventus na Chelsea inapewa nafasi kubwa ya kumnasa kiungo huyo wa kati. 
    Ziara yake hiyo ya London imehusishwa kwa kiasi kikubwa na taarifa za kutaka kuhamia Stamford Bridge.
    Yuko njiani? Paul Pogba (kushoto) ameonekana Magharibi mwa London jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POGBA ATUA LONDON, CHELSEA WAHAHA KUIPATA SAINI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top