Safari hiyo: Maelfu ya mashabiki wa Ujerumani walijimwaga katika ufukwe wa Copacabana mjini Rio kusherehekea ushindi wa Kombe la Dunia jana Uwanja wa Maracana kwa bao pekee la Mario Gotze dakika za nyongeza dhidi ya Argentina.
Mashabiki wa Ujerumani wakifuarahia mjini Palma de Mallorca, Hispania baada ya timu yao kutwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne
Mashabiki wa Ujerumani wakiwahsa mishumaa na kupeperusha bendera kusherehekea ushindi wa Kombe la Dunia karibu na geti la Brandenburg mjini Berlin, Ujerumani



.png)
0 comments:
Post a Comment