Askari Polisi wakipambana na vurugu mjini Belo Horizonte baada ya mechi
Polisi wakiwasili Copacabana Beach mjini Rio

Mitaa ilikuwa tulivu baada ya kipigo, lakini vurugu ziliibuka sehemu mbalimbali, ikiwemo mabasi kuchomwa moto mjini Sao Paulo baada ya mechi

Basi likiteketea kwa moto

Mashabiki wengine wa Brazil wakijiondokea taratibu kurejea maskani zao


.png)
0 comments:
Post a Comment