Mwanzo > Untagged ANGALIA AINA TOFAUTI ZA HASIRA HADI JIBABA KUTAFUNA JEZI, KISA 7-1 ZA UJERUMANI ANGALIA AINA TOFAUTI ZA HASIRA HADI JIBABA KUTAFUNA JEZI, KISA 7-1 ZA UJERUMANI Mwanamitindo, Alessandra Ambrosia na Adriana Lima pia waliangalia mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia Brazil ikifungwa 7-1 na Ujerumani jana Gerard Butler na Ellen Jabour pia waliangalia mechi hiyo Uwanja wa Mineirao mjini Rio De Janeiro Mwanadada akiwa na hasira mpaka basi baada ya kipigo Shabiki aliyekasirika akila jezi ya Brazil baada ya timu hiyo kufungwa 7-1 na Ujerumani katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia jana Wednesday, July 09, 2014
0 comments:
Post a Comment