• HABARI MPYA

    Thursday, June 19, 2014

    ENGLAND WAWASILI NA RAHA TUPU SAO PAULO KUIVAA URUGUAY KESHO

    KIKOSI cha England kimewasili mjini Sao Paulo leo wachezaji wake wakiwa wamepambwa na tabasamu kuelekea mchezo wa pili wa Kundi D dhidi ya Uruguay kesho.
    Timu ya Roy Hodgson itaaga michuano hiyo iwapo itafungwa kesho Uwanja wa Sao Paulo.
    Lakini Jack Wilshere, James Milner, na hats Hodgson waliwasili wakicheka wakati wakiteremka kwenye ndege mjini Rio de Janeiro.
    Kiongozi: Nahodha Steven Gerrard akiwaongoza wenzake baada ya kuwasili Sao Paulo tayari kwa mechi na Uruguay kesho
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND WAWASILI NA RAHA TUPU SAO PAULO KUIVAA URUGUAY KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top