Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru (sasa Taifa) Jijini Dar es Salaam. Bao hilo pekee la Yanga lilifungwa na beki wa kushoto, Kenneth Pius Mkapa dakika ya 10 akimtungua kipa hodari, Mwameja Mohamed.
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment