• HABARI MPYA

  Saturday, May 23, 2020

  'CAPTAIN DIEGO', MBWANA ALLY SAMATTA ALIVYOREJEA MAZOEZINI ASTON VILLA KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU WA LIGI KUU YA ENGLAND

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta 'Captain Diego' akiwa mazoezini na klabu yake Aston Villa kujiandaa kumalizia Ligi Kuu ya England iliyosimama tangu katikati ya Machi kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID17
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'CAPTAIN DIEGO', MBWANA ALLY SAMATTA ALIVYOREJEA MAZOEZINI ASTON VILLA KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU WA LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top