AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX YAANZA KWA KASI CHAMAZI, SASA NI MAJUKWAA
Baada ya ukarabati wa sehemu ya kuchezea (pitch) kukamilika vizuri, sasa Azam FC imeanza rasmi kukarabati majukwaa ya mashabiki kwenye Uwanja wake wa Azam Complex, uliopo Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
Mafundi tayari wameanza kutoa mbao zilizochakaa kwenye majukwaa yote ndani ya Azam Complex, kabla ya kumalizia na zoezi la kuweka mbao mpya katika sehemu za kukalia za mashabiki
Mafundi wakitoa mbao zilizochakaa kwenye majukwaa ya Azam Complex ili waweke mpya
Item Reviewed: AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX YAANZA KWA KASI CHAMAZI, SASA NI MAJUKWAA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Kikao Kazi Kati ya Serikali na NGOs Nchini
-
Na Mwandishi wetu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto imekutana na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika kikao kazi cha
kuweka mwe...
DR Congo to play Cameroon after beating Niger
-
DR Congo finished top of Group B of the Total African Nations Championship
(CHAN) 2020 after beating Niger 2-1 in Yaounde on Monday. A 90th minute
howler...
Guber election. Bauchi students endorse pate
-
Paul Orude, Bauchi Coalition of Bauchi State Students and Youths Movement
has endorsed Dr Muhammad Ali Pate of the People’s Democratic Party (PDP)
for ...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment