• HABARI MPYA

  Friday, May 01, 2020

  KIUNGO SAID HAMISI NDEMLA ANAVYOJIFUA KWA BIDII ILI KUREJESHA NAFASI YAKE KWENYE KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA SC

  Kiungo aliyepoteza nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba SC, Said Hamisi Ndemla akiwa mazoezini ufukweni eneo la Kigamboni Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIUNGO SAID HAMISI NDEMLA ANAVYOJIFUA KWA BIDII ILI KUREJESHA NAFASI YAKE KWENYE KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top