• HABARI MPYA

  Saturday, May 30, 2020

  BEKI MKONGWE, SALUM KANONI KUPELA AKIWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MTIBWA SUGAR MAZOEZINI MANUNGU

  Beki mkongwe wa Mtibwa Sugar, Salum Kanoni Kupela akikokota mpira mazoezini Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI MKONGWE, SALUM KANONI KUPELA AKIWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MTIBWA SUGAR MAZOEZINI MANUNGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top