• HABARI MPYA

  Saturday, May 09, 2020

  NYOTA WA COASTAL UNION, KIPA HUSSEIN SHARRIF 'CASILLAS' NA MSHAMBULIAJI AYOUB LYANGA KWA UPENDO WAKIJIFUA UFUKWENI DAR

  Nyota wa Coastal Union ya Tanga, kipa Hussein Sharrif 'Casillas' (kulia) na mshambuliaji Ayoub Lyanga wakiwa tayari kwa mazoezi binafsi ufukweni Jijini Dar ea Salaam leo kipindi hiki klabu yao imesitisha mazoezi ya pamoja kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA COASTAL UNION, KIPA HUSSEIN SHARRIF 'CASILLAS' NA MSHAMBULIAJI AYOUB LYANGA KWA UPENDO WAKIJIFUA UFUKWENI DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top