• HABARI MPYA

  Saturday, May 09, 2020

  KAPTENI WA YANGA SC, PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AKIJIFUA NYUMBANI KUJIWEKA FITI ZAIDI AENDELEE KUTAMBA JANGWANI

  Nahodha wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPTENI WA YANGA SC, PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AKIJIFUA NYUMBANI KUJIWEKA FITI ZAIDI AENDELEE KUTAMBA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top