• HABARI MPYA

  Thursday, May 14, 2020

  MSHAMBULIAJI WA AZAM FC, SHAABAN IDDI CHILUNDA AKIJIFUA KWA BIDII ILI LIGI KUU IKIREJEA AFANYE VIZURI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akifanya mazoezi gym kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI WA AZAM FC, SHAABAN IDDI CHILUNDA AKIJIFUA KWA BIDII ILI LIGI KUU IKIREJEA AFANYE VIZURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top