Wachezaji wa Coastal Union ya Tanga kutoka kushoto kipa Mwameja Mohamed, beki Yassin Abuu Napili na kiungo Kassa Mussa wakiwa na marefa Army Santamea (sasa Mchungaji) na Omar Juma (sasa marehemu) wote wa Mwanza kabla ya mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1988 dhidi ya wenyeji, Pamba SC Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Coastal Union ilishinda 1-0 na kujisafishia njia ya ubingwa wao pekee wa ligi hiyo msimu huo.
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment