• HABARI MPYA

  Thursday, July 04, 2019

  LAMPARD ATAMBULISHWA RASMI KUWA KOCHA MPYA WA CHELSEA

  Gwiji wa klabu, Frank Lampard akiwa ameshika jezi ya hiyo baada ya Chelsea kutambulishwa kuwa kocha mpya wa The Blues kwa mkataba wa miaka mitatu leo mjini London akichukua nafasi ya Maurizio Sarri aliyehamia Juventus 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LAMPARD ATAMBULISHWA RASMI KUWA KOCHA MPYA WA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top