• HABARI MPYA

    Wednesday, July 17, 2019

    MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA SADNEY URIKHOB MAZOEZINI LEO MOROGORO

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Sadney Urikhob akiwa mazoezini na timu yake, Yanga SC leo viwanja wa Chuo cha Biblia, Bigwa mkoani Morogoro baada ya kujiunga nayo jana kwa maandalizi ya msimu mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA SADNEY URIKHOB MAZOEZINI LEO MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top